Exodus 39:43

43 aMusa akakagua kazi na kuona kuwa walikuwa wameifanya sawasawa kama vile Bwana alivyokuwa ameagiza. Kwa hiyo Musa akawabariki.
Copyright information for SwhKC